Familia, waumini wa RC Parokia ya Kahangala, Walimu akiwemo Mwl.P.Sangija, na Marafiki wa Padri Daniel S. Kadogosa, tunafuraha kubwa sana kuona kijana wetu anatimiza ndoto yake.
Baba Askofu Ruaichi-Jimbo kuu la Mwanza
akiwa amepumzika baada ya kazi nzito ya kuwapa Upadrisho
vijana sita Akiwemo Padri Daniel S.Kadogosa
Askofu Ruaichi akitangaza kumkabidhi Gari la kutembelea katika kazi ya uinjilishaji Padri Daniel S.Kadogosa.
Askofu anaingia ndani ya gari la Pr.Daniel S.Kadogosa kuwasha aone kama ni imara au laa. Baada ya hapo, Pr.Kadogosa alikabidhiwa Kadi ya gari na ufunguo.
Baba mzazi wa Padri Kadogosa akifanya tathmini yakinifu juu ya kijana wake.
Comments
Post a Comment