Wilaya ya Magu wafanya usafi wa mazingira leo tarehe
09/12/2015. Diwani wa kata ya Isndula
Velina Emmanuel Makwandi, Mbunge viti maalum (Maria Kangoe Ndila) na
Diwani viti maalumu Stella Maya waongoza kikosi cha UVCCM kufanya usafi katika
eneo la Hospitali ya wiaya-Magu. Baada ya usafi pia walikuwa na zawadi kidogo
ya sabuni kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo. Picha na Mussa Julius
Makunza.
Comments
Post a Comment