Hatimae kazi ya kushoot video ya Mwl.Regina "Minyota Band" imekamilika. Sasa kazi ya wahariri Kalunde Studio wanafanya mauttundu yao kuhakikisha kazi inakuwa sawa zaidi ya kawaida. Ndugu wapenzi wa video za Kalunde mjiandae kuona mapya kupitia Minyota Band. Baadhi ya picha za Locattttion hizi hapa chini.
Comments
Post a Comment