Gospel Bendi ya DORICAS MAMBAS ya Magu-Mwanza, Tanzania ya shoot video nyimbo nane za album "Baada ya dhiki". Video imeshootiwa na wapiga picha wenye uwezo mkubwa sana hapa Afrika Mashariki akiwemo Robert Bukula na Mussa Julius Makunza. Mwongozaji Aloyce Kalunde akisaidiwa na Mch.John Mambas. Make up imefanywa na Mrs.Mambas. Baadhi ya picha za nyuma ya pazia hizi hapa chini.





































Comments