Mafunzo ya Sheria mpya ya UKIMWI ya Mwaka 2008, Bujashi.

 Na Aloyce Kalunde
+255 783 700083
+255 653 700083

Wakazi wa kata ya Bujashi wilayani Mugu wapata Mafunzo ya Sheria mpya ya UKIMWI ya Mwaka 2008 chini ya Umoja wa Vikundi vya Uzalishaji Mali na Uelimishaji rika Magu (UVUUMA).

                                                                       Nyanda Shagi
                                                          MWEZESHAJI WA MAFUNZO


                                                          Sylvester Symon Kakinda
                                                        MKURUGENZI-UVUUMA


                                          Mkurugenzi wa UVUUMA akifanya mahojiano na
                                          waandishi wa habari siku ya ufunguzi wa mafunzo


                                            Godliver P. Mpini (CSO) Mmoja wa washili wa
                                            Mafunzo, Akichangia Mada.



                                                   Dr. Deusdedit E. Mayunga
 Akiwasilisha Mada kuhusu HALI YA UKIMWI NCHINI NA MATOKEO YA UTAFITI WA VIASHIRIA VYA UKIMWI Na KUSHAMILI KWA MAAMBUKIZI YA VVU KTK MAKUNDI MAALUMU. MAFUNZO YALIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MKUTANO wa IDC, BUJASHI  ,tarehe 13-15,JAN 2015. pia 

Comments