Ingizo Jipya. Kwaya tishio kwa Kanda ya ziwa, yaelekea Geita ktk uzinduzi wa Albam mpya "Kanisa kwenye wakati Mgumu". Ni AIC Wamama Choir-Magu, Mwanza. Tanzania. Chini ya Kalunde Studio. Usiikose hii. Uzinduzi ni Tarehe 21/09/2014 Geita. Baadaye Magu, Tabora, Arusha, Simiyu, Kahama na Dar es Salaam. Picha ni baadhi tu ktk location wakati wa shooting.
Comments
Post a Comment