MAMBA MLAWATU AULIWA - MAGU

Mamba mlawatu aliyeuwa watu zaidi ya 42 kwa nyakati tofauti tofauti wilayani Magu, auliwa na maaskali usiku wa kuamkia jumanne ya tarehe 28/01/2014. Mkuu wa Polisi Wilayani Magu (OCD-Charles Mkapa) adhibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Comments